Sunday, May 22, 2022

Hatimaye Rais Kenyatta Kutoboa Siri Kuhusu Chanzo Cha Machafuko Na Naibu Wake Ruto

Must Read
Swahili Correspondent
Swahili Correspondent
Politics and Crime Swahili Corespondent

Raila wa Jamhuri Ya Kenya Uhuru Kenyatta adai Kutoboa Siri Kuhusu kiini Cha Machafuko dhidi yake na Naibu Wake William Ruto. Uhusiano wa wawili hao waonekana kudidimia kinyume Cha hapo awali.

Inabainika kwamba, Rais Kenyatta na Naibu Wake William Ruto walikuwa marafiki kama chanda na Pete kabla ya bahari kuchafuka katika awamu ya kwanza uongozini.

Katika kipindi Cha kwanza uongozini, viongizi hawa wawili walishirikiana kikazi na hata kuonekana pamoja katika Shughuli mbalimbali nchini.

Hata hivyo, Rais Kenyatta hatimaye alianza kumsuta Naibu Wake huku akimkemea kutokana na ubadhirifu wa Mali ya umma na kutotekeleza ajenda kuu nne za serikali ya jubilee.

Hata hivyo, hali ilizidi kuharibika baina ya hao wawili wakati Rais Uhuru Kenyatta aliungana na Kiongozi wa upinzani Raila Odinga. Muungano huo ulimwacha Naibu Rais William Ruto kinywa wazi kwani hakutarajia na Wala hakuwa na habari kuhusu mpango huo.

Wandani wa Rais Kenyatta na aliyekuwa Waziri wa Zamani Raila Odinga, wamekuwa wakimsuta Naibu Rais Ruto kama Kiongozi mbadhirifu na asiyejali haki ya Wakenya na maendeleo nchini.

Haya yajiri huku taarifa zikibaini kwamba, Rais Kenyatta ana mpango wa Kumwandaa Kinara wa chama Cha ODM Raila Odinga kuwa mrithi wake.

Tembelea tovuti stateupdate.co.ke Kusoma habari zaidi

Leave a Reply

- Advertisement -spot_img
Latest News

Mt Kenya Shifts To Raila? Karua Political Storm

Azimio la Umoja coalition deputy Presidential seat aspirant Martha Karua has taken the Mt Kenya region by storm after...
- Advertisement -spot_img

More newsfor you

%d bloggers like this: