Rais Wa Msumbiji Filipe Nyusi na Mkewe Isaura Nyusi wamelazimika kujitenga kwa lazima baada ya Kupatikana na Virusi vya Covid-19.
Taarifa Zinabaini kwamba, Rais Filipe na Mkewe Isaura walipatika na Virusi hivyo baada ya kupimwa ikuluni. Bwana Filipe alikuwa amejishughulisha...