Huku taifa la Kenya likikaribia uchaguzi mkuu utakaofanyika agosti 8, Taarifa zimeibuka kupianga kustaafu kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Rais Kenyatta amehudumu kama Rais Wa nne wa Jamhuri ya Kenya kwa vipindi viwili mtawalia.
Akitarajiwa kustaafu uongozini hivi karibuni, Rais Kenyatta ahapa kuacha taifa la...
Raila wa Jamhuri Ya Kenya Uhuru Kenyatta adai Kutoboa Siri Kuhusu kiini Cha Machafuko dhidi yake na Naibu Wake William Ruto. Uhusiano wa wawili hao waonekana kudidimia kinyume Cha hapo awali.
Inabainika kwamba, Rais Kenyatta na Naibu Wake William Ruto...