Huku taifa la Kenya likikaribia uchaguzi mkuu utakaofanyika agosti 8, Taarifa zimeibuka kupianga kustaafu kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Rais Kenyatta amehudumu kama Rais Wa nne wa Jamhuri ya Kenya kwa vipindi viwili mtawalia.
Akitarajiwa kustaafu uongozini hivi karibuni, Rais Kenyatta ahapa kuacha taifa la...